Hamisa Atuhumiwa Kutembea na Mkongo


Mwanadada Hamisa Mobeto ameingia katika skedno nyingine tena ya kujiingiza katika mahusinao na mwanaume wa kikongo ambae alikuwa akimsapoti sana katika maswala yake ya muziki na kudaiwa kuwa mwanaume huyo kwa sasa ameamua kumuacha baada ya kuonekana akitembea na rafiki wa mkongo huyo.

Habari zinazotolewa katika page za udaku zinasema kuwa , mwanadada hamisa mobeto alikuwa katika mahusinao na mwanaume huyo na aliahidi kumsaidia katika kazi zake za muziki lakini ghafa mwanadada huyo alimsaliti mwanaume huyo bila kujua na kwenda kutembea na mwanaume mwingine ambae hamisa hakujua kuwa ni rafiki na mkongo.

Hata hivyo inaripotiwa kuwa baada ya wawili hao kukutana na kuanza kusimuliana walijikuta wote wako katika mahusiano na mwanamke mmoja ndipo walipoamua kumuacha na kukatisha sapoti walizokuwa wakimpa.

Share
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. UONGO ULIOKITHIRI. WAKATI HAMISA ANAKAZWA MLIKUEPO.UNAFIKI WA KUTAKA ASHUKE ILI DAI NA FAMILY YAKE WAFURAHI..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad