Hawa Hapa Washindi wa Tuzp za ZIFF 2019 Kutoka Mlimani City




MUIGIZAJI BORA WA KIKE: Tuzo imekwenda kwa Flora Patience Kihombo kupitia movie ya ‘Kesho’.

Filamu Bora yenye Maudhui ya Kitaifa – Filamu iliyoshinda ni SIYABONGA kutoka kwa Salim Ahmed a.k.a  Gabo Zigamba

Sinema Zetu imetoa tuzo kwa filamu ambazo hazijapata tuzo katika vipengele vingine lakini zimefanya vizuri katika mikoa mbalimbali.


MSHINDI – Tuzo ya Mtu Aliyetukuka katika tasnia ya Filamu Tanzania inakwenda kwa Mzee Majuto (ambaye kwa sasa ni marehemu). Tuzo hii imetolewa na majaji.

Filamu Bora upande wa Filamu Fupi – Filamu iliyoshinda ni SUPA MAMA

 Muigizaji Bora wa Kike katika World Cinema – Washindi ni wawili, Leena Alam kutoka Afghanstan na Myra Vishwakarma kutoka India.

 Makala Bora – Mshindi ni Adam Juma kupitia makala ya AMKA – Muigizaji Bora wa Kike katika World Cinema – Washindi ni wawili, Leena Alam kutoka Afghanstan na Myra Vishwakarma kutoka India

 Mchekeshaji Bora katika Filamu Ndefu – Mshindi ni Madebe Lidai kupitia filamu ya ‘MAMA MWALI’

 Mwandishi Bora wa Muswada – Filamu iliyoshinda ni ‘SUPA MAMA’, mshindi akiwa ni Christina Pande

 Mhariri Bora wa Filamu Fupi – Mshindi ni Ibrahim Jabir kupitia filamu ya ‘TAMAA’.

 Mpiga Picha Bora Filamu Ndefu – Filamu iliyoshinda ni T-JUNCTION mshindi akiwa ni Lister Millado.

 Mpiga Picha Bora katika Filamu Fupi – Mshindi ni Adam Juma katika filamu ya ‘TAMAA’.

 Muziki Bora wa Filamu Ndefu – Filamu iliyoshinda ni ‘DEMA’ mshindi akiwa ni Khatwab Khamis.

 Muziki Bora World Cinema – Filamu iliyoshinda ni ‘THE SILENT REVOLUTION’

 Muziki Bora wa Filamu Fupi – Filamu iliyoshinda ni SISI NA WAO

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad