Hawa ndiyo wanasoka wanaoongoza kuwa na tattoo kubwa katika miili yao, Neymar, Messi, Sergio Ramos wamo

Hawa ndiyo wanasoka wanaoongoza kuwa na tattoo kubwa katika miili yao, Neymar, Messi, Sergio Ramos wamo
Spiderman, Batman, picha ya mama pamoja na dada yake ni sehemu ya tatoo zilizochorwa kwenyemwili wa nyota wa Brazil na klabu ya PSG, Neymar akiionyesha dunia namna gani anavyowakubali watu hao.

Neymar's latest huge tattoos depict superheroes Spiderman and Batman on each of his shoulder blades

The Brazilian superstar also has a tattoo of his mother, Nadine, on his right bicep
His sister, Rafaella, is inked onto his right shoulder
Na hawa ni miongoni mwa wanasoka ambao wameorodheshwa kuwa na tattoo kubwa zaidi katika miili yao.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad