Huu Hapa Utabiri wa Mwalimu Kashasha Mechi ya Simba na Al Ahaly

Huu Happ Utabiri wa Mwalimu Kashasha Mechi ya Simba na Al Ahaly
Mchambuzi mahiri wa mchezo wa soka hapa nchini, Mwalimu Alex Kashasha amemzunguzmia mchezo kati ya Al ahly dhidi ya Simba katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika, mchezo unaotarajiwa kufanyika leo usiku nchini Misri.


Katika mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa saa nne usiku Simba wanaenda huko wakiwa na pigo la kufungwa goli 5 kwa sifuri dhidi ya Vita club ya DR Congo. Mwalimu Kashasha ametabiri mchezo huo kama ifuatavyo:-

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad