Jerry Muro Aomba Radhi Baada ya Kusema Ngasa, Boban Hawafai Kuitumikia Yanga
0Udaku SpecialFebruary 21, 2019
Kufuatia tamko alilolitoa aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga, Jerry Muri juu ya Haruna
Moshi 'Boban' na Mrisho Ngassa kuwa si wachezaji wanaopaswa kuitumikia Yanga kwa sasa, hatimaye ameibuka na kuomba radhi.
Aidha ameomba msamaha pia kwa kauli aliyoitoa juu ya Kocha wake, Mwinyi Zahera ambaye alikuwa akipinga mbinu zake Uwanjani.