Kocha wa Yanga SC awatumia salamu Simba SC

Kocha wa Yanga SC awatumia salamu Simba SC
Kocha mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi katika mchezo wa leo dhidi ya Simba SC na kuwaahidi kuwa wataishuhudia Yanga nyingine sio walioizoea.

“Sisi ndio vile tumejitaarisha vizuri sana, tuko vizuri wachezaji wangu wote sina mchezaji yoyote mwenye tatizo tunakuja kama zilivyo mechi nyingine tunavyocheza tukiwa na lengo la kushinda," amesema.

Ameendelea kwa kusema,'Haitakuwa rahisi itakuwa mechi ya nguvu ndio mimi nawaita kesho mashabiki wa Yanga waje wengi sana wataona Yanga nyingine sio ile Yanga tulicheza mechi nne halafu ya tano tukacheza na SImba hii ya kesho nadhani watashangaa” alisema Zahera kuelekea mchezo huo

Hadi sasa Yanga SC wanaongoza ligi wakiwa na pointi 58 kibindoni baada ya kucheza michezo 23 huku Simba SC wakiwa nafasi ya tano baada ya kucheza michezo 15 wakiwa nafasi pointi 36 pekee.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad