Madiwani Chadema Watwangana Ngumi DC Muro Aagiza Wakamatwe

Madiwani Chadema Watwangana Ngumi DC Muro Aagiza Wakamatwe
Mkuu wa Wilaya ya Meru Ndugu, Jerry Muro, ameagiza askari kuwachukulia hatua za kisheria madiwani wawii wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao inasemekana walipigana ndani ya ofisi za Mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru Mnamo Februari 04, mwaka huu Ambapo mpaka sasa Sababu za kupigana kwao bado hazijajulikana.

Mkuu wa Wilaya Muro ametoa maelekezo hayo wakati akimalizia salamu zake kwenye kikao cha baraza la Madiwani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad