Mahakama Yamkuta na Hatia Malkia wa Meno ya Tembo

Mahakama Yamkuta na Hatia Malkia wa Meno ya Tembo
Hatiani raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa tembo, na wenzake Wawili baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi kumi na moja upande wa mashtaka Katika mashitaka ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh. bilioni 13, kinyume cha sheria.

Mbali na Feng washtakiwa wengine walitiwa hatiani ni, wafanyabiashara raia wa Tanzania, Salvius Matembo na Philemon Manase, ambao wote walikuwa wakitetewa na mawakili Nehemia Nkoko na Hassan Kiangio.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad