Makonda Amtembelea Pascal Cassian Muhimbili

Makonda Amtembelea Pascal Cassian Muhimbili
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Alhamisi, Februari 21, 2019 amemtembela aliyekuwa Mshindi wa Bongo Star Search ‘BSS’ 2009, Pascal Cassian ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar akipatiwa matibabu.



“Madaktari wamepata matumaini kwamba Mgonjwa wetu anaweza kutibiwa na kwa kiwango kinachostahili Mungu ikimpendeza anaweza kupona na kurudi.” amesema Makonda.



Ikumbukwe kuwa Cassian alipata ajali ya gari maeneo ya Manyoni Singida na kuumia vibaya na kuvunjika nyonga.



View this post on Instagram


Mkuu wa Dar es Salaam @baba_keagan amefika Hospitali ya Muhimbili kumtembelea Pascal castian aliyewahi kushiriki Shindano la BSS ambae alipata ajali. #GlobalTVOnline #GlobalHabariUpdates

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad