Mama Diamond Amwaga Sifa Kedekede kwa Tanasha

Mama Diamond Amwaga Sifa Kedekede kwa Tanasha
Kama vile haijawahi kutokea kwa wale waliopita, mama wa msanii Diamond platinumz amemwaga sifa kemkem kwa mkazamwana wake mpya Tanasha kuwa mwanamke huyo amekuwa moja ya wanawake wenye heshima na wenye utafauti sana nawanawake wote aliowahi kuwa nao mtoto wake wa kume.

Akiongea kwa kujiamini na kwa kumsifia mwanadada huyo, mama wa msanii Diamond anasema kuwa ukiachana na kuwa na heshima lakini pia mwanadada huyo amekuwa akipenda sana familia ya mtoto wake kiais kwamba kila anapotua tanzania anatka familia yao iwepo pamoja kwa ajili ya kufurahi pamoja.


Mama huyo anasema kuwa ukiachana na hilo , mwanadada huyo hana skendo mbaya hasa za kufumaniwa kama ilivyokuwa kwa wale waliopita.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. taahira yuda mshenz. jitu zima hata hofu ya mungu hana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad