Mchezaji Msuva Sio Poa Huko Morroco ATUPIA Magoli Mawili



Simon Msuva usiku wa Jana amefunga mabao mawili na kuisaidia dimu yake Difaa el Jadida kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ittihad Tanger kwenye mchezo wa ligi ya Morocco (Botola Pro League).

Msuva amefunga magoli hayo dakika ya pili na dakika 30 katika mchezo huo uliozikutanisha timu iliyo nafasi ya tatu (Ittihad Tanger) na Difaa El Jadida (ilikuwa nafasi ya 10) kwenye msimamo wa ligi.

Pointi tatu zimeisaidia Difaa kupanda kwa nafasi moja kwenye msimamo wa ligi ambapo kwa sasa ipo nafasi ya 9 ikiwa na alama 24 baada ya kucheza mechi 19.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad