“Nahisi Kutapika Nikisikia Watu Wanasema KWA MCHINA”-Mwakyembe



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe amepiga vita uwanja wa taifa kuitwa KWA MCHINA kama ambavyo imeanza kuzoeleka siku za hivi karibuni.

Angalia video hapa chiniWaziri Mwakyembe akionesha kukerwa na wanaoiuta KWA MCHINI uwanja wa Taifa. Bofya PLAYkwenye link ya #YouTube uangalie kupitia #DaudaTV.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad