Nampenda sana mume wangu lakini nimeboreka nae! in the bedroom ndio hata usiseme! yaani hata nikikaa mwezi hatujakutana siku ikitokea mechi najua kabisa anaanzia wapi atafanya nini, hayuko creative kabisa.
Najaribu kufanya changes try new positions ila yeye wala. Inaniboa! yaani I can only dream mechi za stori za sinema za x hahaha! ana mashine nzuri lakini utaalam ziro. mpaka nimenunua kitabu flani cha positions hakya nani.
Hayo yote sijawahi kucheat...ivi kuna unyago for men? nakiri kwa kweli niko shy kidogo kumpa somo, jinsi ya kuhandle mwanamke. nifanyeje?
MWAMBIE UKWELI KUWA HUWA HUTOSHEKI. ILI UTOSHEKE MWAMBIE NINI ANATAKIWA KUFANYA. UKIBAKI KIMIA HUTASAIDIWA. HUYO NI MMEO. USIPOMWAMBIA UTAMWAMIA NANI?
ReplyDelete