PICHA: TANESCO Yafunga Transformer Mpya Yenye Uwezo wa Megawati 240

PICHA: TANESCO Yafunga Transformer Mpya Yenye Uwezo wa Megawati 240
Transfoma hiyo iliingia hapa nchini mnamo Januari 28, 2019 kwa nia ya kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wa uhakika na kuleta ufanisi katika usambazaji wa umeme katika jiji la Dar es Salaam na Pwani.

Akielezea uwezo wa Transfoma hiyo, Mkuu wa Kituo cha Kupoza na Kusambaza umeme Ubungo, Mhandisi Joseph Msumali amesema Transfoma hiyo ina uwezo wa kusukuma takribani Megawati 240 kutoka kwenye msongo wa kilovoti 220 kuelekea Msongo wa kilovoti 132 kwa ajili ya usambazaji na matumizi ya nishati ya umeme katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad