Poshy QEEN Afunguka Jinsi Wanaume Wanavyomuogopa Kutokana na UMBO lake Matata

Poshy Afunguka Jinsi Wanaume Wanavyomuogopa
MREMBO ambaye ametengeza jina lake kupitia umbo lake ‘matata’, Jacqueline Obed ‘Poshy Queen’ amefunguka kuwa, moja ya silaha kubwa ya warembo kuogopwa na wanaume ni kufanya kazi.

Akizungumza na Showbiz Xtra, Poshy ambaye amefungua duka lake la nguo za ndani linaloitwa Poshy Secret lililopo, Sinza-Palestina, amesema kuwa staa yeyote akiwa mzuri halafu akafanya kazi anazidi kung’ara na hata wanaume wanamugopa wanajua wazi kwamba, si mwanamke wa mchezomchezo.

“Unapokuwa staa na ukaamua kufanya kazi basi itakuwa dawa moja kubwa sana ya kukulinda na wanaume, lazima watakuogopa; utaheshimika na kisha uzuri wako utaonekana mara dufu,” alisema Poshy

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad