Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wenye Ulemavu na Mwenyekiti wa REA

Rais John Magufuli amemteua Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) Dr. Lucas Kija kuwa M/kiti wa Baraza la Ushauri la Taifa kwa Watu wenye ulemavu.


Pia kamteua Michael Nyagoga kuwa M/kiti Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini kuanzia jana Feb 13 2019

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad