Rais Magufuli Amlilia RUGE "Daima Nitaukumbuka Mchango Wake"

Rais Magufuli Amlilia Rug "Daima Nitaukumbuka Mchango Wake"

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba amefariki dunia leo nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. Kufuatia msiba huo Rais Magufuli ametoa pole kwa wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki.

 Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu na kumuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema – Ameen!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad