Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Rehema Chalamila maarufu kama Ray C ameamua kuanika majibu yake ya vipimo vya virusi vya Ukimwi alivyopima Hivi karibuni.
Ray C ambaye aliwahi kutamba na vibao vikali kama vile ‘Mapenzi matamu’ ‘Na wewe milele’ na vinginevyo ameweka wazi kuwa hana maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
Hivi sasa Ray C anaishi nchini Uingereza Lakini yupo nchini Marekani kwa ajili ya kufanya shoo ameanika majibu hayo Kupitia ukurasa wake wa Instagram
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjju_2lArqsHQ6lKgGvd8I58HVd-4hJhR67w0eYSUQM5QB2c-TQCoEqoRF6izX4IxDXSS08NppDNjajMoARX6y7zyfG-CMX-o4s3saIh9Yn3VgcrIS1aKep85eCbhl0zo4ZpE7VrLlBEDM/s1600-rw/maamuzi.jpeg)