Serikali imesimamisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa gazeti la The Citizen kwa muda wa siku 7 kuanzia leo Jumatano.
Serikali imedai Februari 27lilichapisha habari ya upotoshaji kuhusu maoni ya wataalamu waliozungumzia kuporomoka kwa shilingi iliyochapishwa Februari 23, 2019.