Siwezi Kumchukia Ray na Atabaki Kuwa Baba Watoto Wangu Hata Tukiachana- Chuchu Hans

Siwezi Kumchukia Ray na Atabaki Kuwa Baba Watoto Wangu Hata Tukiachana-  Chuchu Hans
msanii mwenzake Vicent Kigosi ‘Ray’ ambaye ni baba wa Mtoto wake.

Kwa Wiki kadhaa sasa kumekuwa na tetesi kuwa penzi la Ray na Chuchu Hansy limefika mwisho Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka mingi na kuzaa pamoja Mtoto mmoja.


Kwenye mahojiano aliyofanya na kipindi cha Enews cha EATV, Chuchu amesema kuwa hawezi kumchukia Ray hata siku moja kwa sababu atabaki kuwa baba wa Watoto Wake hata kama wakiachana au wakiendelea kuwa wote.

Siwezi kabisa kuongelea mahusiano yangu na Ray kwa sababu hayo ni maisha yangu binafsi Lakini mimi na yeye tupo sawa kwa sababu tunalea mtoto kwa pamoja hivyo hamna shida”.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad