Steve Nyerere Ashindwa Kuvumilia Maneno ya Dudubaya Kufuatia Kifo Cha Ruge Amuomba Waziri Mwakyembe Kumchukulia Hatua Kali

Steve Nyerere Ashindwa Kuvumilia Maneno ya Dudubaya Kufuatia Kifo Cha Ruge Amuomba Waziri Mwakyembe Kumchukulia Hatua Kali
Msanii wa bongo movies Steve nyerere ameshindw kuvumlia kile kinachoendelea katika mitandao hasa baada ya taifa kukumbwa na mziba mzito wa mkurugenzi wa clouds media , bwana Ruge mutahaba huku msanii dudubaya akikaejeli kifo chake.

Dudu baya ambae alianza tangu awali kupinga kampeni za kumsaidia Ruge kwa ajili ya pesa za matibabu , amekuwa akiongea maneno ya kuvunja moyo kwa watu hasa wanaombeleza kwa sasa kutokana na msiba huo.


Hata hivyo steve nyerere ameomba mamlaka husika hasa waziri wa sanaa na michezo kuliangalia swala hili kwa ukaribu na kumnyamizisha mtu huyo kwa sababu hiki ni kipindi kigumu sana kwa familia ya marehemu na watu wake wa karibu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad