Tetesi za Harmonize kujitoa WCB Mwaka Huu



Ameandika  IKIRIRI Kutoka JF

Hii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.

Kutokana na kukua kiuchumi na mabadiliko ya tabia na ulevi wa sigara/bangi.,kijana aambiliki kwa sasa.

Hii imekolezwa na kwanini Mlezi atoe kauli ile kwa harmonize? Kwanini asingemsubiri arudi hadi anamuhusisha na bangi mbele ya media ule si ulezi tena bali inaonekana hayupo katika Familia hiyo

Ukitaka kumuua paka MPE jina baya utamuua kiraisi...

JF
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad