Uchebe "Nilimkataza Mke Wangu Kujiboost na POMBE Kabla ya Kupanda Jukwaani Kupiga Show"


Kuna baaadhi ya wasanii ambao wamekuwa wakifanya ama desturi kubwa pombe kabla ya shoo kwa ajili ya kujiboost na kuondoa aibu ya kupanda juwaani ili kuwa-face mashabiki.

Kumbe hii pia ilikuwa ni tabia ya mwanadada Shiloleh ambae ameuwa akinywa pombe kabla ya shoo ili kuwaface mashabiki, sasa basi mume wa msanii huyo anafunguka na kusema alimkataza kabisa mwanadada huyo kufanya hivyo.

Wakiongea katika kipindi cha Leo tena cha Clouds Media, Uchebe anasema kuwa aliamua kumtaza kabisa mke wae kufanya hivyo na kumtaka kuwa kama yeye pale anapoenda kukutana na mashabiki zake ili kujua uwezo wae kwa mashabiki, lakini hiyo pia inamfanya utofanya vitu vya aibu ambayo mwisho wa shoo anaweza  kujta kwanini alifanya.

"Nilimwambia usitumie kilaji chochote abla ya kupanda jukwaani, anasema asipokunywa anaona watu sio wengi, nashukuru Mungu wa sasa hafanyi hivyo tena na hata akinywa ni kiasi kidogo sana."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad