UNAAMBIWA Baada ya Sakata Lake la Unyanyasaji Mabinti Kingono Kupoa, R Kelly Atangaza Tour Katika Mataifa Haya Barani Ulaya


Ikiw alipitia wakati mgumu sana katika majuma kadhaa nyuma kuhusiana na unyanyasaji wa kingono, Nguli wa R&B duniani R. Kelly ameamua kutangaza balaa barani Ulaya akitarajia kuatafanya tour katika nchi tofauti barani Ulaya.


Jana aliamua kuchukua jukumu hilo kupitia mitandao ya kijamii na kueleza mpango wake wa tour ya muziki katika nchi ya Australia, New Zealand, na Sri Lanka, pia amepanga kufanya show nchini Ujerumani mwezi Aprili.


Mipango hiyo imekuja baada ya mwimbaji huyo kukataa mashtaka yanayomkabili dhidi yake na kwamba hakuwa na hatia ya uhalifu wowote wa ngono, licha ya documentary “Surviving R. Kelly” iliyodondoka mtaani ikionyesha namna jamaa alivyokuwa anafanya unyanyasaji wa kijinsia, kimwili na kiakili kwa wasichana wenye umri wa chini ya 18.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad