Vanessa Mdee Ataja Sifa za Mtu Anayehitaji Kufanya nae Kazi


Msanii wa Muziki, Vanessa Mdee amefunguka sifa za mtu anayetaka kufanya nae kazi ya Muziki.

Vanessa amesema ili uweze kufanya kazi nae anataka u serious wa mtu kabla ya kuingia studio huku akieleza kuwa kuna watu wana bahatisha kwenye sanaa.

"Kikubwa mimi nataka kuoa u serious na mtu, kabla hata hatujaingia studio, unajua kuna watu wanabahatisha kwenye sanaa yaani wanajaribu jaribu mi sitaki mtu anayekuja kujaribishia, tusifanye fanye tufanye kazi," alisema Vanessa  kwenye mahojiano yake na Wasafi Tv.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad