VIDEO: Edo Kumwembe Aichambua Mechi ya Simba na Al Ahly, "Hata Wangeenda Yanga na Azam"

Mchambuzi mkongwe wa michezo nchini Edo Kumwembe ameelezea kiundani muelekeo wa kundi la Simba katika michuano ya klabu bingwa Afrika. Pia ameuchambua mchezo wa Simba na Al Ahly huku akiongeza kuwa hata kama wangekuwa Yanga au Azam wangefungwa goli nyingi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad