Video: Hatimaye Ommy Dimpoz aachia wimbo mpya ‘Ni Wewe’ kumshukuru Mungu Asimulia Alivyonusurika Kifo

Hatimaye Ommy Dimpoz aachia wimbo mpya ‘Ni Wewe’ kumshukuru Mungu Asimulia Alivyonusurika Kifo
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo mpya ‘Ni Wewe’ ambao amemshukuru Mungu kwa kumpa afya njema mpaka sasa.


Ommy Dimpoz amewasili nchini Wikiendi iliyopita, akitokea Ujerumani alikokuwa akitibiwa kwa miezi miwili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad