VIDEO: Kangi Lugola amvaa Godbless Lema ''Mnashindwa Kuwakamata kwa uzembe''
0Udaku SpecialFebruary 17, 2019
Waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola amemuulizia Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema pamoja na Katibu wake kwa ajili ya kusalimia wananchi katika mkutano wake na wananchi aliyoufanya katika jiji la Arusha