VIDEO: Mbunge CUF Ajitosa Sakata la Lissu ''CCM Wanakosea Hawajui Kuwa Alichungulia Umauti''


Mbunge wa jimbo la Mchinga, Hamidu Babali amefunguka kuhusiana kitendo kinachofanywa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Serikali kuzungumizia na pia kumjibu Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na kusema kuwa kufanya hivyo wanakosea kwani mbunge anachokieleza ni uhalisia wa mazingira yaliyomkuta pia anatimiza wajibu wake wa katibu.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad