VIDEO: Mjadala wa viboko shuleni ulivyozua mambo, Spika akumbushia alivyomtandika mtu


January 31, 2019 Mkutano wa kumi na nne wa Bunge la kumi na moja umeendelea Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu miongoni mwa jambo lililoleta mjadala mkubwa ni pamoja na swali la Mbunge wa viti maalum CCM Zainab Katimba aliyehoji Serikali kwamba je, kuna utafiti wowote umefanyika kubaini kama adhabu ya viboko kwa wanafunzi inaongeza ufaulu katika shule zetu.

Hapa Spika Job Ndugai na yeye akakumbushia namna alivyomtandika mtu bakora katika kipindi cha kampeni.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad