VIDEO: Mkuu wa wilaya Kigamboni amcharukia Tundu lissu, Adai Bado anaumwa



Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Bi. Sara Msafiri amecharuka kufuatia kitendo cha Mbunge wa singida mashariki Tundulissu Kuzunguka kwenye vyombo vya habari vya nje na kuongea kwa kuikashifu taifa la Tanzania ambapo amesisitiza kuwa kitendo hiko ni uchochezi.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad