VIDEO: Mr Uchebe atamba mbele ya kocha wa Al Ahly, "Tumewaonyesha sisi sio timu ya kijijini"


Raha ya soka ni kupata matokeo ya ushindi hasa ukiifunga timu ambayo ni kubwa zaidi kwako. Kocha wa Simba Patrick Aussems ameonyesha kufurahishwa na matokeo ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly kwenye uwanja wa Taifa. Aussems amesema kuwa Ahly walidhania mchezo huo utakuwa mwepesi lakini wao wameweza kuwaonyesha wao kama Simba sio timu kutoka kijijini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad