VIDEO: Tundu Lissu Arudi tu Nyumbani, Usalama Wake Upo - Kangi Lugola


Waziri wa Mambo ya ndani Kangi Lugola, Amesema kuwa sio kweli kwamba serikali imeshindwa kushughulikia suala lake la kushambuliwa kwa risasi Septemba 7, 2017 katika eneo LA makazi yake jijini Dodoma lakini alisema tundu lisu kama mhusika Mkuu wa tukio hilo aje nchini kutoa ushirikiano kwa jeshi la Polisi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad