Aisha wa Mambo hayo actress mkongwe aliyechochea maendeleo ya tasnia ya sanaa ya uigizaji Tanzania awafumua waandaaji wa Tuzo Za Sinema Zetu kwa kusema....
"Nimetoka kuangalia sinema zetu! Nilibahatika kuiona kidogo Filamu ya kesho! Msema kweli mpenzi wa Mungu watoto walioshinda kwenye uigizaji bado kabisa! Wanajikanyaga mno! Bado hawajakomaa kabisaa!! Kwenye uchezaji!! Hata mai zumo ni bora Mara Mia! Kuwapa ushindi dhidi ya wema, Monalisa, gabo , johari, phd na wengine ? sijui ni vigezo vipi wametumia! Kama ni kura tu ni kura zipi zilizopigwa kuwazidi wakongwe waliokuwa wanapigiwa usiku na mchana? Je hawa watoto wapo nyuma ya Nani? Nani kafanya hili deal litiki? Mimi ile naiita Aibu ya mwaka! Ni Aibu kubwa sana sana kwenye tunzo za sinema zetu! Yaani uigizaji ule ndio uwafanye wewe bora? Wenzetu wa Kenya, Uganda, nigeria wakibahatika kuiona filam ya kesho na kuwaona wale watoto wanavyoigiza eti ndio waigizaji bora si Aibu hii jamani? Hiki ni kichekesho kilichopitiliza kwa kweli! (hayo ni mawazo yangu tu mhenga Mimi)😤😤😤😤😤nimeudhika mpaka nimetoa povu Leo!"
Enter your comment...we kweli unaonekana una uroho Sana watu wanamna hiyo huwa na tabia Kama uliyo nayo kwani kupewa wale watoto wewe inakuuma Nini Kama so majungu tyu na umbea yaani waafrka kwa kweli hatutaendelea Mimi nawapongeza kwa kitendo walicho kifanya wataongeza Kasi na ubora kwa wasaniii wengine ulifikiri awamu ya nne hiii this is period of magufulification there is no preference and undugunization
ReplyDelete