Wazee Wengi Nchini Japan Wanaotekeleza Uhalifu Makusudi Wakitaka Kwenda Jela

Wazee wengi nchini Japan ndio wanaotekeleza uhalifu wakitaka kwenda jela. uhalifu unaotekelezwa na watu walio na zaidi ya umri wa miaka 65 umekuwa ukiongezeka kwa takriban miaka 20 sasa. Lengo ni kupata makazi ya bure. Hivyo hufanya makosa makusudi ili wakamatwe. Hata hivyo wengine wanaamini upweke ni moja ya sababu inayofanya wazee hao wakimbilie jela.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad