Waziri Mkuu Awasili Mkoani Kigoma na Kupokelewa na Mkuu was Mkoa Huo

Waziri Mkuu Awasili Mkoani Kigoma na Kupokelewa na Mkuu was Mkoa Huo
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa leo amewasili Kigoma na kupokelewa na mkuu wa Mkoa huo Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga, atatembelea Wilaya za Kigoma,Uvinza,Kibondo na Kakonko na kuzungumza na wananchi pamoja na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo Vitalu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad