Yanga waingia uwanjani kwa style ya aina yake


Kiosi cha Yanga kimewasili kwa style ya aina yake uwanja wa taifa kwa ajili ya mchezo wa watani wa jadi. Yanga wametumia basi dogo ‘Coaster’ huku basi lao kubwa wanalolitumia siku zote likija tupu.

Baada ya kuwasili uwanjani, wachezaji pamoja na benchi la ufundi hawakuingia vyumba vya kubadilishia kwa kupitia lango kuu bada yake wakatumia mlango mwingine.

Angalia video #YouTube kupitia #DaudaTV bofya PLAY▶kuangalia video mwanzo mwisho hapa chini


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad