Yondani Ana Tatizo na Mchezaji Ajib? Angalia VIDEO Alivyokataa Kumpa Mkono


Jana uwanja wa Taida Dar es Salaam ulichezwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara kati ya Simba dhidi ya Yang, mchezo ambao Simba alishinda 1-0, inadaiwa kuwa nahodha wa Yanga Ibrahim Ajib na beki wa timu hiyo Kelvin Yondani hawapo katika maelewano mazuri kwa sasa ila chanzo kamili kikiwa hakijajulikana.

Inadaiwa kuwa Yondani amekasirika kuvuliwa unahodha na kocha mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera January 4 2019 na kumpa Ibrahim Ajib, tukio la kutopeana mikono kwa wachezaji hao limetokea leo wakati wa utambulisho wa wachezaji hao kabla ya game kuanza. VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad