Afisa Habari wa Jeshi la Magereza Lucas Mboje Akanusha taarifa za kifo cha mahabusu James Rugemarila, anayetuhumiwa kwa shitaka la kuhujumu uchumi

Afisa Habari wa Jeshi la Magereza Lucas Mboje Akanusha taarifa za kifo cha mahabusu James Rugemarila, anayetuhumiwa kwa shitaka la kuhujumu uchumi
 
Jeshi la Magereza nchini limekanusha taarifa za kifo cha mahabusu, James Rugemarila mwenye mashitaka ya uhujumu uchumi, na kusema kwamba yuko salama kabisa.

Afisa Habari wa Magereza, Lucas Mboje, amesema kwamba taarifa za kifo chake ni za uzushi, na kwamba Rugemarila yuko mzima.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad