Albamu ya Jay Z yaingizwa Makumbusho ya Taifa Marekan

Albamu ya Jay Z yaingizwa Makumbusho ya Taifa Marekan
Album ya sita ya msanii wa muziki nchini Marekani, Jay Z inayokwenda kwa jina la The Blueprint imeingizwa kwenye makumbusho ya taifa Marekani (Library of Congress/ National recording registry) ambapo kazi bora zenye zilizobeba historia, tamaduni na ubora wa mpangolio na uandishi huifadhiwa.

The Blueprint ni moja ya Album 25 zilizotangazwa kuongezwa kwenye makumbusho hayo ambayo hukusanya kazi bora kutoka katika kila aina ya muziki na kuzihifadhi kwa ajili ya historia ya muziki kwa vizazi vijavyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad