Basi la BM Coach Lapinduka Likijaribu Kukikwepa Kichwa cha Treni


Ajali hiyo imetokea maeneo ya Chekelei Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wakati basi hilo likiwa safarini kutoka Arusha kuelekea Morogoro

Basi la BM liligongwa na ubavuni na kupinduka huku kichwa hicho cha Treni kikiendelea na safari

Dereva wa basi hilo amejeruhiwa vibaya pia abiria wachache nao wamejeruhiwa  -
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad