Web

Bondia Hassan Mwakinyo Amtwanga Bondia wa Argentina

Bondia Hassan Mwakinyo Amtwanga Bondia wa Argentina
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amemtwanga kwa Knockout Bondia wa Argentina Sergio Gonzalez katika mzunguko wa 5 usiku wa leo Nairobi nchini Kenya.

Pambano hilo silo la ubingwa. Global Digital tunakupongeza Hassan Mwakinyo kwa kutupa heshima Watanzania na Wana Afrika Mashariki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad