BREAKING: Kituo cha kuzalisha umeme Mlandizi Chawaka moto

BREAKING: Kituo cha kuzalisha umeme Mlandizi Chawaka  moto
Kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha Mlandizi mkoani Pwani kinaungua kwa moto.

Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na tayari kikosi cha zimamoto na uokozi kimeshafika kutoa msaada.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad