Daktari Awaonya Wanaume na Wanawake Kunyoa Nywele za Sehemu ya Siri

Daktari wa wanawake ameonya dhidi ya kunyoa sehemu za siri eti kama njia moja kudumisha usafi

Kulingana na Dkt Ignitius Kibe, Mungu aliumba binadumu awe na nywele hizo anapobalehe kwa sababu kadhaa na pia zina umuhimu sana hasa wakati wapenzi waposhiriki kitendo cha ndoa.

Akiwa kwenye mahojiano na runinga ya Citizen Jumatano Machi 27, daktari huyo alisema nywele hizo husaidia sana wakati wa kitendo cha ndoa.

Aidha, daktari huyo alisema sio salama kuzinyoa kwani mtu anaweza pata vipele na michubuko kwenye sehemu za siri

" Mimi kwangu binafsi napendelea hizo nywele ziwepo, zina umuhimu sana wakati wapenzi wanaposhiriki kitendo cha ndoa," Dkt Kibe alisema.


Daktari huyo alisema wale ambao hunyoa nywele hizo wanahatarisha maisha yao kwani ni rahisi kuambukiwa magonjwa ya zinaa.


Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kuweka manywele sehemu za siri jambo hili lina mafhara hata kiakili tu achana na kidinia ama vinginevyo.

    kwanza manywele hayo husababisha michubuko maeneo ya siri kwa mwanamke wanapokutana na mume wake.
    pili huweka harufu mbaya hasa wanapoingia wanawake katika mizunguuko yao.
    tatu, kumuwekea umbile baya mwanamke na hata mwanaume katika maeneo ya siri.

    iwapo mwanamke anakutana na mwanaume mwenye manywele, inakuwa rahisi sana kupata michubuko sehemu za ndani za siri nankumsababishia maumivu makali anapomaliza tendo.

    hivyo hakuna dalili za kiakili wala kiafya kuwa kunyoa manywele hayo ni kujisababishia maambukizo.....
    tusipingane na nature.

    ReplyDelete
  2. nywele sehemu za siri ni uchafu

    ReplyDelete
  3. Enter your comment... kuwa na nwele sehrmu za Siri Ni uchafu na hakuba madhara kma utanyoa kwa mkasi

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...rasta mpaka chini ni hatari. Kuacha nywele ni hatari na uweza kusababisha kifo ikiwa mwanamke ataachia minywele akakutana na mwanaume, nywele ikichanja uume tu........

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad