Dereva wa Mwendokasi Kizimbani Kwa Kumkata Abiria Kidole


Khalid Shaha(43), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kujibu shtaka la kumkata kidole Godfrey Liwa kwa kioo cha gari
-
Hata hivyo mshtakiwa alikana kutenda kosa hilo na aliachiwa kwa dhamana hadi Machi 12, 2019
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad