Dk. Bashiru Akataza Uhuni huu CCM

Dk. Bashiru akataza uhuni huu CCM
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally, amewataka wanachama wa CCM kuheshimu alama za vyama vyote vya siasa nchini kwa sababu vimesajiliwa kisheria.


Dk Bashiru amesema hayo wakati akizindua mkakati wa kukomaza demokrasia kwenye mashina ulioandaliwa na CCM mkoa wa Dodoma.

Amewataka kutochoma wala kubeza alama za vyama hivyo na kwamba huku akigusia suala la wafuasi wengine kuchoma bendera na kupaka rangi ya chama chao ofisi za chama kingine.

"CCM tusifanye mambo holela na uhuni huo katika siasa. Ni kosa kuparamia na kupaka rangi ofisi za vyama hivyo. CCM tusifanye hivyo ni kosa kisheria''. amesema.

Ameongeza, Sisi wanachama wa Chama cha Mapinduzi tunao wajibu wa kulinda uhuru wa vyama vingine vilivyosajiliwa kisheria, kama sisi tunafurahi na kuimba nyimbo zetu acheni na wao wafurahi na kuimba nyimbo zao, kama sisi tunapendeza na nguo zetu acheni na wao wapendeze na nguo zao,


19 Car Pimping Fails, #7 is Hilarious
TopicThoughts
|
Sponsored
PHOTOS: These are the 10 richest countries in the world
Immigration DO
|
Sponsored
Drink This Before Going to Bed to Help Burn Belly Fat – Food Prevent
Food Prevent
|
Sponsored

9 Best Herbs for Natural Kidney Cleansing
Organic Welcome
|
Sponsored
If You Eat Ginger Root Every Day, This is What Happens To Your Body
Health & Human Research
|
Sponsored
Mfahamu Mtanzania aliyeshinda tuzo ya Malkia | East Africa Television
Tanzania imeendelea kusikika na kuvuma katika anga za kimataifa hasa katika sekta ya elimu, hii ni baada ya mtanzania Given Edward kushinda tuzo ya Vijana ya Umoja wa Ulaya (European Youth Awards- 2018) inayowatambua vijana wanaotumia teknolojia kuleta matokeo chanya katika jamii.
EATV

TOP STORIES

SPORT
“Shughuli ya Lechantre imekwisha”-Manara

SPORT
Ngoma ashindwa kuichezea Azam, Kagame

CURRENT AFFAIRS
Amuua mke mwenza na kumzika shambani

CURRENT AFFAIRS
Mbunge wa CHADEMA, ajiuzulu na kujiunga CCM


MOST POPULAR

CURRENT AFFAIRS
Magereza yakanusha kifo cha Rugemarila

CURRENT AFFAIRS
Nassari afunguka kuhusu kurudishiwa Ubunge

CURRENT AFFAIRS
CCM kuungana na Zitto Kabwe ACT

LIFE & STYLE
Mtoto wa Kibonde ataja ahadi ya baba yake

ENTERTAINMENT
Amber Ruty acheza utupu jukwaani
ABOUT US
ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS
NETWORK
IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO
© 2019 East Africa Television Limited. All Rights Reserved

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad