Dkt Mpango na Kairuki washughulikia malalamiko ya wawekezaji

Dkt Mpango na Kairuki washughulikia malalamiko ya wawekezaji
Waziri wa Fedha na Mipango ,Dkt Philipo Mpango na Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Angela Kairuki wamekutana na wawekezaji wa Mashamba ya Kahawa katika wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro kuzungumzia malalamiko yao dhidi ya vitendo vya unyanyasaji kutoka baadhi ya viongozi wa serikali waliyomuandikia Rais John Magufuli.

Hatua hiyo inatokana na Wawekezaji hao kumuandikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Mh John Magufuli wakieleza mambo kadhaa ambayo wamekuwa wakifanyiwa na baadhi ya viongozi wa serikali pamoja na baadhi ya taasisi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad