Watu wasiojulikana wamechoma moto gari la aliyewahi kuwa Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Zanzibar ambaye pia ni mkurugenzi wa moja ya kituo cha redio Zanzibar, Abdallah Mitawi kinachomilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Tukio hilo limetokea Usiku wa kuamkia leo, ambapo hadi sasa jJshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo
Gari la Mkurugenzi lachomwa moto na watu wasijulikana
0
March 11, 2019
Tags