Gari la Mkurugenzi lachomwa moto na watu wasijulikana

Gari la Mkurugenzi lachomwa moto na watu wasijulikana
Watu wasiojulikana wamechoma moto gari la aliyewahi kuwa Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Zanzibar ambaye pia ni mkurugenzi wa moja ya kituo cha redio Zanzibar,  Abdallah Mitawi  kinachomilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Tukio hilo limetokea Usiku wa kuamkia leo, ambapo hadi sasa jJshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad