Kajala "Kila Nikiangalia Uzuri wa Mtoto Wangu Paula Natamani Nimfungie Ndani Magube Gube Wasimuone"

“Kila nikimuangalia Paula naona nina kazi nzito sana ya kumlinda maana kila mtu anamsifia mzuri ana umbo zuri mpaka imefika wakati naogopa sasa nasali sana kwa ajili yake. Hata huko shule ninakompeleka kwa vile ndio kuna ulazima ila natamani nimfungie ndani tu magume gume wasimuone,”- Kajala.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad